Jumapili, 5 Julai 2015

LAKEZONIA KUACHIA VIDEO MPYA,,,,

Kundi linaloundwa na majamaa watatu Ludo Mc,,Cattegory na Gflaver linalopatikana ndani ya jiji la mwanza LAKEZONIA wanatarajia ku lounche video yao ya MIXER iliyofanyika na director Gooder wa Hi DESH INC video hiyo inatarajiwa kuwapush katika safari yao kimziki stay tune,,,,,,,,,,,,,,,,,,

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni