RAIS NKURUNZINZA WA BURUNDI KATIKA JARIBIO LA KUPINDULIWA HUKU AKIWA JIJINI DAR ES SALAAM KWA UPATANISHI

Rais Piere Nkurunzinza wa Burundi.

Rais
jakaya Kiwete akiwa na Rais Piere Nkurunzinza wa Burundi jijini Dar es
Salaam hii leo katika mkutano wa upatanishi. marais wa EAC wameshauri
kuahirishwa kwa uchaguzi wa Burundi uliokuwqa ufanyike mwezi uijao.
FUATILIA UPDATES MBALIMBALI ZA SAKATA HILO LA BURUNDI >>>> BBC SWAHILI
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni