WANAFUNZI WA CHUO CHA MIPANGO DODOMA WATEMBELEA BUNGENI MJINI DODOMA
Wanafunzi
40 wa Chuo cha Mipango Dodoma leo wametembelea Bungeni mjini Dodoma
katika ziara ya mafunzo ambapo walijifunza shughuli mbalimbali za
kuendesha Bunge.
Wanafunzi hao wakifuatilia kikao cho cha Bunge huku wengine wakipitia karatasi iliyo na orodha ya shuli zote zinazofanyika leo.
Na hii kwa wanafunzi dodoma ni kawaida sana |
Wanafunzi hao wakiwa Bungeni hii leo.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni