maisha yako kasi sana kwani wakati mashabiki na wapenzi wa manchester wakiwaza kuifanyia kufuru everton kumbe sarafu haikuwa upande wao cheki walivyogeuzwa cartoon
lukaku akitoa saluuuuute kwa mashabiki
Jumatatu, 27 Aprili 2015
Jumamosi, 18 Aprili 2015
kutana na talent tamu toka rock ctyTANICANDO
Huwezi amini kama hawa vijana bado wanahangaikia kutoka likini ki ukweli hawa watoto ni wabayaaaaaaaaaaaaaa sana cheki hapa ndani TANICANDO wanaliwakilisha vyema jiji la mwanza kwani hawakuangushi kila stage wakituaaaaaa
KWA MIKAO HII NANI ATATOKA KWA MASOGANGE,,,,,,,,,,,,
ungeambiwa umchukie kabla hajalijua jiji hakika usingekubali lakini leo pending text ziko nyingi sana kwake
HAYA SASA ACT NJIAI IKULU
ACT YANGURUMA SINGIDA YAENDELEA KUFUNGUA MATAWI
Kiongozi
Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe akizungumza na wananchi wa
kijiji cha Kintintu mara baada ya kuzindua tawi la chama hicho.
Katika mazungumzo yake Zitto amesema ACT kinaweza kuunganisha
nguvu na yama vingine vya upinzani ili kukiondoa chama cha mapinduzi
kwenye uchaguzi mkuu ujao ambapo alisema shauku kubwa ya wananchi ni
kutaka kujua msimamo wa ACT Wazalendo katika kushirikiana na vyama
vingine vya siasa ili kufanikisha malengo ya kuiondoa CCM katika
madaraka.
Kauli hiyo
ilitolewa jana mjini Singida na Kiongozi wa ACT wazalendo Zitto Kabwe
wakati akihutubia mamia ya wananchi katika uwanja wa shule ya msingi
ukombozi.
"Tumedhamiria kuleta mapinduzi
ya kiuchumi kwa kuubomoa mfumo unaonyonya wananchi. Msimamo wetu upo
wazi na tumeueleza mara kadhaa"alisema na kuongeza
“ACT-
Wazalendo tunaunga mkono juhudi zozote za kushirikiana kwa vyama na
hili linathibitishwa na jina letu Alliance na msimamo wetu kuhusu
mabadiliko ya Katiba. Kubwa tunataka ushirikiano utakaonufaisha wananchi
na sio ushirikiano wa kugawana nafasi za uongozi,” alisema Zitto.
Kiongozi
huyo wa ACT alisema chama hicho hakina tatizo na kipo tayari
kushirikiana na chama chochote kilichokuwa tayari kushirikiana nao
ikiwemo Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa).
Kiongozi wa chama cha ACT-Wazalendo Zitto Kabwe na Mwenyekiti wa Chama
hicho Anna Mghwira wakizindua tawi la chama hicho kwenye Kijiji cha
Kintintu wilayani Manyoni mkoani Singida.
Wakazi wa Mji wa Singida wakishangilia viongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo wakati waa mkutano huo jijini humo leo.
Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo Anna Mghwira, akiwahutubia wakazi wa Manyoni Mjini.
Wakazi wa Manyoni wakipiga picha na simu zao.
Zitto Kabwe akisalimiana na wakazi wa Manyoni.
Wakazi wa Mji wa Singida wakishangilia viongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo wakati waa mkutano huo jijini humo leo.
Viongozi wakiimba wimbo wa taifa.
Alhamisi, 16 Aprili 2015
LAKEZONIA INAMLETA LUDO MC nguli kwenye jamiii
Jumanne, 7 Aprili 2015
Jumatatu, 6 Aprili 2015
URAFIKI HAUCHAGUI,,,,,,,,,,,,,
Katika dunia ya leo binadamu wamekosa tene utu na urafiki umehamia kwa wanyama angalia jinsi mnyama huyu alivyoweza kuonyesha kuwa upendo haijarishi ni kwa nani na adui anweza kuwa rafiki na si kila adui aliumbwa kuwa adui weengine wameukuta uadui
Jumamosi, 4 Aprili 2015
MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI,,,
Ijumaa, 3 Aprili 2015
HAYA SASA DIAMOND V/S DAVIDO
DIAMOND THE PLUTNUMZ AMJIBU DAVIDO KWA KUJIAMINI
“I
met Davido when he came over to Tanzania for a show and when we were
together, he heard my song. I told him I would love to feature him on
the remix of my song, ‘Number One’, and he agreed. Currently the song is
topping charts in various African countries.”
“Shortly after, he released Aye and that made him very popular in my country as well. They love the song in my country. I featured Davido on the track because I wanted to launch myself into the West African market and he was the best person for the job. I used Davido to break into the West African market,” the Tanzanian singer said further.
“Shortly after, he released Aye and that made him very popular in my country as well. They love the song in my country. I featured Davido on the track because I wanted to launch myself into the West African market and he was the best person for the job. I used Davido to break into the West African market,” the Tanzanian singer said further.
wale wale wakali toka Rock cty LAKEZONIA
bjero na gflaver kwa stage wakifanya yao ndani yaa jiji la mwanza wanakuja hawa majamaaa
mashabiki walipagawa sana kwa kila ngoma iliyochezwa,,,,,,,,
mashabiki walipagawa sana kwa kila ngoma iliyochezwa,,,,,,,,
kutoka bungeni dodoma,,,,
WANAFUNZI WA CHUO CHA MIPANGO DODOMA WATEMBELEA BUNGENI MJINI DODOMA
Wanafunzi
40 wa Chuo cha Mipango Dodoma leo wametembelea Bungeni mjini Dodoma
katika ziara ya mafunzo ambapo walijifunza shughuli mbalimbali za
kuendesha Bunge.
Wanafunzi hao wakifuatilia kikao cho cha Bunge huku wengine wakipitia karatasi iliyo na orodha ya shuli zote zinazofanyika leo.
Na hii kwa wanafunzi dodoma ni kawaida sana |
Wanafunzi hao wakiwa Bungeni hii leo.
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)