Jumapili, 17 Aprili 2016

WANAITWA LAKEZONIA MUSIC CREW

Wanasema sio rahisi sana kufikia mafanikio ukia umekaa lazima kuna kazi utapswa kuifanya ,,,kutokea jiji la mwana kutana na vijana watatu LUDO MC,GFLAVOUR DE HERO NA CATTEGORY Wanaounda kundi zima la LAKEZONIA vijana hawa wapo ngangari tangu mwanzo wa kundi mpaka leo huku shule ikiwa pia katika maisha yao. Baada ya kutoa nyimbo kadhaa kama "mixer mixer dry"pedeshee"michongo fyongo"chama la wanagu na destiny na kufanikiwa kupata umaarufu jijini mwanza na mikoa ya jirani sasa kundi hilo limeamua kutanua scale yao kwa kuachia nyimbo inayoitwa ""mwanzo mwisho""
Nyimbo imetengenezwa katika studio za DAWA YAO SOUND Chini ya usimamizi wa produza maarufu jijini mwanza DABO K CLASSIC nyimbo intarajiwa kuwepo kwenye media zote,,,toa ushirikia kwa kuiomba nyimbo katika vipindi mbali mbali